home *** CD-ROM | disk | FTP | other *** search
/ CD Actual: Unknown Issue / mycd.iso / EUROTALK / SOURCES / 33SOURCE / HELP / HELP22.PCT (.png) < prev    next >
Macintosh Picture Format  |  1998-06-05  |  12.1 KB  |  334x251  |  8-bit (27 colors)
   ocr: Sikiliza kwa makini. Bonyeza kifungo cha buluu ulisikie neno tena. Sasa bonyeza penye kifungo ambacho kinakewenda na hilo unalolisikia. Utapata pointi 5 kwa jibu sawa, na ukikosea utapoteza pointi 2